Matendo ya Mitume 14:9-10
Matendo ya Mitume 14:9-10 SRB37
Huyu alimsikiliza Paulo, alipokuwa akisema. Naye alipomkazia macho, akamwona, ya kuwa anatazamia kuponywa, akamwambia kwa sauti kuu: Inuka, usimame kwa miguu yako, inyoke! Ndipo, alipoinuka na kuruka na kuzungukazunguka.