Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo ya Mitume 11:17-18

Matendo ya Mitume 11:17-18 SRB37

Mungu alipowapa kipaji kilekile, tulichokipata na sisi tuliomtegemea Bwana Yesu Kristo, hapo mimi nilikuwa na nguvu gani, niweza kumzuia Mungu? Walipoyasikia haya wakanyamaza kimya, wakamtukuza Mungu wakisema: Kumbe hata wamizimu Mungu amewapa majuto, nao wapate uzima!