Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mattayo MT. 4:1-2

Mattayo MT. 4:1-2 SWZZB1921

NDIPO Yesu alipopandishwa na Roho hatta jangwani, illi ajaribiwe na Shetani. Akafunga siku arubaini mchana na usiku, baadae akaona njaa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mattayo MT. 4:1-2