Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mattayo MT. 1:18-19

Mattayo MT. 1:18-19 SWZZB1921

Na kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipoposwa na Yusuf, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu. Nae Yusuf, mumewe, kwa kuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mattayo MT. 1:18-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha