Luka MT. 4:5-8
Luka MT. 4:5-8 SWZZB1921
Shetani akampandisha juu ya mlima mrefu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja. Shetani akamwambia, Nitakupa mamlaka haya yote, na fakhari yake: kwa kuwa nimekabidhiwa, nami nampa ye yote nimtakae: bassi, wewe ukisujudu mbele yangu, yote yatakuwa yako. Yesu akamwambia, Nenda zako nyuma yangu, Shetani: maana imeandikwa, Utamsujudia Bwana Mungu wako, nae peke yake utamwabudu.