Yohana MT. 6:11-12
Yohana MT. 6:11-12 SWZZB1921
Bassi Yesu akaitwaa mikate, akashukuru, akawagawia walioketi; kadhalika katika wale samaki kwa kadiri walivyotaka. Waliposhiba, akawaambia wanafunzi wake, Kusanyeni vipande vilivyobaki, kitu kisipotee.