Luka 4:1
Luka 4:1 RSUVDC
Na Yesu, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho kwa muda wa siku arobaini nyikani