Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 3:17

Mwanzo 3:17 SCLDC10

Kisha akamwambia huyo mwanamume, “Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo, ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile; kwa hiyo, kwa kosa lako ardhi imelaaniwa. Kwa jasho utajipatia humo riziki yako, siku zote za maisha yako.

Soma Mwanzo 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 3:17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha