Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 3:7-8

Matendo 3:7-8 SCLDC10

Halafu, akamshika mkono wa kulia, akamwinua. Papo hapo miguu na magoti yake yakapata nguvu. Akaruka, akasimama na kuanza kutembea. Halafu akaingia pamoja nao hekaluni, akitembea na kurukaruka huku akimtukuza Mungu.

Soma Matendo 3