Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 1:31-33

Luka 1:31-33 TKU

Sikiliza! Utapata mimba na kuzaa mtoto mwanamume, nawe utamwita jina lake Yesu. Mtoto huyo atakuwa Mkuu na watu watamwita Mwana wa Mungu Aliye Mkuu Sana na Bwana Mungu atamfanya kuwa mfalme kama Daudi baba yake. Naye ataitawala nyumba ya Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.”

Soma Luka 1