Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 8:10-11

Yohana 8:10-11 TKU

Kisha Yesu akainua uso wake tena na kumwambia, “Wameenda wapi hao wote? Je! hakuna aliyekuhukumu kuwa una hatia?” Mwanamke akajibu, “Hakuna hata mmoja aliyenihukumu, Bwana.” Kisha Yesu akasema, “Hata mimi sikuhukumu. Unaweza kwenda sasa, lakini usifanye dhambi tena.”

Soma Yohana 8