Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 7:23

Mwanzo 7:23 BHNTLK

Mungu akaangamiza kila kiumbe kilichokuwa hai duniani: binadamu, wanyama, viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Vyote viliangamizwa duniani. Noa tu ndiye aliyesalimika na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina.

Soma Mwanzo 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 7:23