Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 15:26-28

Warumi 15:26-28 SRUV

maana imewapendeza watu wa Makedonia na Akaya kutoa mchango kwa ajili ya watakatifu walio maskini huko Yerusalemu. Naam, imewapendeza, tena wamekuwa wadeni wao. Kwa maana ikiwa Mataifa wameyashiriki mambo yao ya roho, imewabidi kuwahudumia kwa mambo yao ya mwili. Basi nikiisha kuimaliza kazi hiyo, na kuwatilia mhuri tunda hilo, nitapitia kwenu, kwenda Spania.

Soma Warumi 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 15:26-28