Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 14:11-12

Warumi 14:11-12 SRUV

Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu. Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu.

Soma Warumi 14

Video for Warumi 14:11-12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 14:11-12