Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:18-20

Warumi 1:18-20 SRUV

Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu. Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia. Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru

Soma Warumi 1

Video for Warumi 1:18-20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 1:18-20