Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 6:8

Ufunuo 6:8 SRUV

Nikaona, na tazama, farasi wa rangi ya kijivujivu, na yeye aliyempanda jina lake ni Mauti, na Kuzimu akafuatana naye. Nao wakapewa mamlaka juu ya robo ya nchi, waue kwa upanga na kwa njaa na kwa tauni na kwa wanyama wa nchi.

Soma Ufunuo 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 6:8