Zaburi 9:7-8
Zaburi 9:7-8 SRUV
Bali BWANA atakaa milele, Ameweka kiti chake tayari kwa hukumu. Naye atauhukumu ulimwengu kwa haki; Atawaamua watu kwa uadilifu.