Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 61:1-2

Zaburi 61:1-2 SRUV

Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu. Toka mwisho wa nchi nitakulilia ninapozimia moyo, Uniongoze juu ya mwamba nisioweza kuupanda.

Soma Zaburi 61