Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 12:5-6

Hesabu 12:5-6 SRUV

BWANA akashuka katika nguzo ya wingu akasimama pale mlangoni pa Hema, akawaita Haruni na Miriamu, nao wakatoka nje wote wawili. Kisha akawaambia, Sikilizeni basi maneno yangu; Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto.

Soma Hesabu 12

Video for Hesabu 12:5-6