Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 4:18-19

Marko 4:18-19 SRUV

Na hawa ndio wale wapandwao penye miiba; ni watu walisikiao lile neno, na shughuli za dunia, na udanganyifu wa mali, na tamaa za mambo mengine zikiingia, hulisonga lile neno, likawa halizai.

Soma Marko 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 4:18-19