Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 10:32

Marko 10:32 SRUV

Nao walikuwako njiani, huku wakipanda kwenda Yerusalemu; na Yesu alikuwa akiwatangulia, wakashangaa, nao katika kufuata wakaogopa. Akawatwaa tena wale Kumi na Wawili, akaanza kuwaambia kuhusu mambo yatakayompata

Soma Marko 10