Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 23:23

Mathayo 23:23 SRUV

Ole wenu Waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnalipa zaka za mnanaa, bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu ya sheria, yaani, adili, na rehema, na imani; hayo imewapasa kuyafanya, wala yale mengine msiyaache.

Soma Mathayo 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 23:23

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha