Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 19:29

Mathayo 19:29 SRUV

Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.

Soma Mathayo 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 19:29