Luka 5:31-32
Luka 5:31-32 SRUV
Yesu akajibu akawaambia, Wenye afya hawana haja na tabibu, isipokuwa walio wagonjwa. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu.