Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 21:9-10

Luka 21:9-10 SRUV

Nanyi mtakaposikia habari za vita na fitina, msitishwe; maana, hayo hayana budi kutukia kwanza, lakini ule mwisho hauji upesi. Kisha aliwaambia, Taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme

Soma Luka 21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 21:9-10