Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mambo ya Walawi 10:8-11

Mambo ya Walawi 10:8-11 SRUV

Kisha BWANA akanena na Haruni, na kumwambia, Usinywe divai wala kileo chochote, wewe, wala wanao pamoja nawe, hapo mwingiapo ndani ya hema ya kukutania, ili kwamba msife; amri hii itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyenu; kisha, mpate kupambanua kati ya yaliyo matakatifu na hayo yaliyo ya siku zote, na kati ya yaliyo najisi na hayo yaliyo safi; tena mpate kuwafundisha wana wa Israeli amri hizi zote ambazo BWANA amewaambia kwa mkono wa Musa.

Video for Mambo ya Walawi 10:8-11