Ayubu 3:25-26
Ayubu 3:25-26 SRUV
Maana jambo hilo nichalo hunipata, Nalo linitialo hofu hunijia. Mimi sioni raha, wala situlii, wala kupumzika; Lakini taabu huja.