Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 21:18-19

Yohana 21:18-19 SRUV

Akasema, Amin, amin, nakuambia, Wakati ulipokuwa kijana, ulikuwa ukijifunga mwenyewe na kwenda utakako; lakini utakapokuwa mzee, utainyosha mikono yako, na mwingine atakufunga na kukuchukua usikotaka. Akasema neno hilo kwa kuonesha ni kwa mauti gani atakayomtukuza Mungu. Naye akiisha kusema hayo akamwambia, Nifuate.

Soma Yohana 21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 21:18-19