Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 50:19-21

Mwanzo 50:19-21 SRUV

Yusufu akawaambia, Msiogope, je! Mimi ni badala ya Mungu? Nanyi kweli mlinikusudia mabaya, bali Mungu aliyakusudia kuwa mema, ili itokee kuokoa taifa kubwa, kama ilivyo leo. Basi sasa msiogope; mimi nitawalisha na watoto wenu. Akawafariji, na kusema nao vema.

Soma Mwanzo 50

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 50:19-21