Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 35:10-12

Mwanzo 35:10-12 SRUV

Mungu akamwambia, Jina lako ni Yakobo; hutaitwa tena Yakobo, lakini Israeli litakuwa jina lako. Akamwita jina lake, Israeli. Mungu akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uzidi ukaongezeke. Taifa na kundi la mataifa watatoka kwako, na wafalme watatoka katika uzao wako. Na nchi hii niliyowapa Abrahamu na Isaka nitakupa wewe, na uzao wako baada yako nitawapa nchi hiyo.

Soma Mwanzo 35

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 35:10-12