Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 26:22

Mwanzo 26:22 SRUV

Akaondoka huko akachimba kisima kingine, wala hicho hawakukigombania. Akakiita jina lake Rehobothi, akasema, Kwa kuwa sasa BWANA ametufanyia nafasi, nasi tutazidi katika nchi.

Soma Mwanzo 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 26:22