Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 2:19-20

Mwanzo 2:19-20 SRUV

BWANA Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo jina lake. Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye.

Soma Mwanzo 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 2:19-20