Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 20:1-3

Kutoka 20:1-3 SRUV

Mungu akanena maneno haya yote akasema, Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. Usiwe na miungu mingine ila mimi.

Soma Kutoka 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 20:1-3