Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:15-16

Waefeso 4:15-16 SRUV

Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, Kristo. Katika yeye mwili wote ukiungamanishwa na kushikanishwa kwa msaada wa kila kiungo, kwa kadiri ya utendaji wa kila sehemu moja moja, huukuza mwili upate kujijenga wenyewe katika upendo.

Soma Waefeso 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 4:15-16