Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mhubiri 4:9-11

Mhubiri 4:9-11 SRUV

Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Kwa sababu wana tuzo njema kwa kazi yao. Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua! Tena, wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto; lakini mmoja aliye peke yake tu awezaje kupata moto?

Soma Mhubiri 4