Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 6:26-27

Danieli 6:26-27 SRUV

Mimi ninaweka amri, ya kwamba katika mamlaka yote ya ufalme wangu watu watetemeke na kuogopa mbele za Mungu wa Danieli; maana yeye ndiye Mungu aliye hai, adumuye milele, na ufalme wake ni ufalme usioharibika, na mamlaka yake itadumu hata mwisho. Yeye huponya na kuokoa, hutenda ishara na maajabu mbinguni na duniani, ndiye aliyemponya Danieli na nguvu za simba.

Soma Danieli 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 6:26-27