Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Amosi 1:1-2

Amosi 1:1-2 SRUV

Maneno ya Amosi, aliyekuwa mmoja wa wachungaji wa Tekoa; maono aliyoyaona katika habari za Israeli, siku za Uzia, mfalme wa Yuda, na siku za Yeroboamu, mwana wa Yoashi, mfalme wa Israeli, miaka miwili kabla ya tetemeko la nchi. Naye alisema, BWANA atanguruma toka Sayuni, Atatoa sauti yake toka Yerusalemu; Na malisho ya wachungaji yatakauka, Na kilele cha Karmeli kitanyauka.

Soma Amosi 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Amosi 1:1-2