Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 10:23-24

Matendo 10:23-24 SRUV

Akawakaribisha wawe wageni wake. Hata siku ya pili, Petro akaondoka akatoka pamoja nao, na baadhi ya ndugu waliokaa Yafa wakafuatana naye. Kesho yake wakaingia Kaisaria. Na Kornelio alikuwa akiwangojea, akiwa amekusanya jamaa zake na rafiki zake.

Soma Matendo 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 10:23-24