Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 24:24

2 Samweli 24:24 SRUV

Lakini mfalme akamwambia Arauna, La, sivyo; lakini kweli nitavinunua kwako kwa thamani yake; wala sitamtolea BWANA, Mungu wangu, sadaka za kuteketezwa isiyonigharimu chochote. Hivyo Daudi akakinunua hicho kiwanja cha kupuria na wale ng'ombe kwa shekeli hamsini za fedha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samweli 24:24