Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 5:13

2 Wafalme 5:13 SRUV

Watumishi wake wakamkaribia, wakamwambia, wakasema, Baba yangu, kama yule nabii angalikuambia kutenda jambo kubwa, usingalilitenda? Je! Si zaidi basi, akikuambia, Jioshe, uwe safi?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 5:13