Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Mambo ya Nyakati 20:1-2

2 Mambo ya Nyakati 20:1-2 SRUV

Baada ya hayo, wana wa Moabu, na wana wa Amoni, pamoja nao baadhi ya Wameuni, wakaja juu ya Yehoshafati vitani. Wakaja watu waliomwambia Yehoshafati, wakisema, Wanakuja jamii kubwa juu yako watokao Shamu toka ng'ambo ya bahari; na tazama, wako katika Hasason-tamari (ndio Engedi).

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Mambo ya Nyakati 20:1-2