Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 18:7-8

1 Samweli 18:7-8 SRUV

Nao wale wanawake wakaitikiana wakicheza, wakasema, Sauli amewaua elfu zake, Na Daudi makumi elfu yake. Basi Sauli akaghadhibika sana, na maneno haya yakamchukiza; akasema, Wamempa Daudi makumi elfu, na mimi wamenipa elfu tu; kuna nini tena awezayo kupata, isipokuwa ni ufalme?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 18:7-8