Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 5:1-3

1 Petro 5:1-3 SRUV

Nawasihi wazee walio kwenu, mimi niliye mzee, mwenzi wao, na shahidi wa mateso ya Kristo, na mshirika wa utukufu utakaofunuliwa baadaye; lichungeni kundi la Mungu lililo kwenu, na kulisimamia, si kwa kulazimishwa, bali kwa hiari kama Mungu atakavyo; si kwa kutaka fedha ya aibu, bali kwa moyo. Wala si kama wajifanyao mabwana wa wale walio chini ya utunzaji wao, bali iweni mifano kwa lile kundi.

Soma 1 Petro 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 5:1-3