Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 1:5-6

1 Yohana 1:5-6 SRUV

Na hii ndiyo habari tuliyoisikia kwake, na kuihubiri kwenu, ya kwamba Mungu ni nuru, wala giza lolote hamna ndani yake. Tukisema ya kwamba tunashirikiana naye, huku tukienenda katika giza, tunasema uongo, wala hatuifanyi iliyo kweli

Soma 1 Yohana 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 1:5-6