Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 11:23-24

1 Wakorintho 11:23-24 SRUV

Kwa maana mimi nilipokea kwa Bwana niliyowapa nanyi, ya kuwa Bwana Yesu usiku ule aliotolewa alitwaa mkate, naye akiisha kushukuru akaumega, akasema, Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 11:23-24