Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Mambo ya Nyakati 28:5-6

1 Mambo ya Nyakati 28:5-6 SRUV

tena katika wana wangu wote (kwani BWANA amenipa wana wengi), amemchagua Sulemani mwanangu ili aketi juu ya kiti cha enzi cha ufalme wa BWANA, juu ya Israeli. Akaniambia, Sulemani, mwanao, ndiye atakayeijenga nyumba yangu na nyua zangu; kwa kuwa nimemchagua awe mwanangu, nami nitakuwa babaye.