Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:25-27

Mathayo 15:25-27 SRUVDC

Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie. Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao.

Soma Mathayo 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 15:25-27