Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 7:47-48

Luka 7:47-48 SRUVDC

Kwa ajili ya hayo nakuambia, Amesamehewa dhambi zake ambazo ni nyingi, kwa kuwa amependa sana; lakini asamehewaye kidogo, huyo hupenda kidogo. Kisha alimwambia mwanamke, Umesamehewa dhambi zako.

Soma Luka 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 7:47-48