Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 6:29-30

Luka 6:29-30 SRUVDC

Akupigaye shavu moja, mgeuzie la pili, naye akunyang'anyaye joho yako, usimzuilie na kanzu. Mpe kila akuombaye, na akunyang'anyaye vitu vyako, usitake akurudishie.

Soma Luka 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 6:29-30