Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 13:11-12

Luka 13:11-12 SRUVDC

Na tazama, palikuwa na mwanamke aliyekuwa na pepo wa udhaifu muda wa miaka kumi na minane, naye amepindana, hawezi kujinyosha kabisa. Yesu alipomwona alimwita, akamwambia, Mama, umefunguliwa katika udhaifu wako.

Soma Luka 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 13:11-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha